TAMSYA UNI CONFERENCE 2026

Tanzania Muslim Students and Youth Association (TAMSYA) inawakaribisha wanafunzi wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kushiriki TAMSYA UNI CONFERENCE 2026, itakayofanyika tarehe 22 Novemba 2026 katika New Library, University of Dar es Salaam.

 

Mkutano huu umebeba kaulimbiu: “Empowering University Students for Academic Excellence, Leadership and Sustainable Success”, ukilenga kuwawezesha wanafunzi kukuza ubora wa kitaaluma, uongozi, maadili na mbinu za kujenga mafanikio endelevu.

 

Ni fursa muhimu kwa wanafunzi kujifunza, kuungana na wenzao, kupata maarifa kutoka kwa viongozi na wataalamu, pamoja na kujenga mtandao wa fursa za kielimu na kitaaluma.

 

📅 Tarehe: 22 Novemba 2026
📍 Mahali: New Library, University of Dar es Salaam
📞 Mawasiliano: +255 658 067 983
 

Usikose kuwa sehemu ya mkutano unaolenga kuandaa mwanafunzi wa Kiislamu kwa ubora wa kitaaluma, uongozi bora na mafanikio endelevu.