AST AFRICAN LEADERSHIP SUMMIT 2026

🌍πŸ”₯ EAST AFRICAN LEADERSHIP SUMMIT 2026 β€” UONGOZI UNAANZA NA WEWE! πŸ”₯🌍

Assallam Alleykum warrahmatullah Wabarrakatuh

Je, uko tayari kuwa sehemu ya kizazi kinachobadilisha Afrika Mashariki?

TAMSYA kwa kushirikiana na AMUCK inakualika kwenye East African Leadership Summit 2026, tukio linalowaleta pamoja vijana wa Kiislamu wenye maono, viongozi, wanafunzi na wadau kutoka ndani na nje ya Tanzania.

🎯 THEME: β€œ Empowering Youth to Build a United and Prosperous East Africa”

Hii siyo tu Summit ya kusikiliza hotubaβ€”ni nafasi ya:
🀝 CONNECT na vijana na viongozi kutoka Afrika Mashariki
🧠 LEARN maarifa na ujuzi wa uongozi
🌍 EXPERIENCE mitazamo na fursa za kikanda
πŸš€ ACT na kuanza kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka

πŸ“… 22 August 2026
⏰ 08:00 AM – 05:00 PM
πŸ“ Karim Jee Hall, Posta – Dar es Salaam

πŸ”₯ USIJE KUSIKIA TU KUHUSU MABADILIKO  KUWA SEHEMU YAKE!

πŸ‘‰ Register Now to Participate
πŸ“ž More Info: +255 628 018 919