MAADHIMISHO YA HIJAB DAY MKOA WA KATAVI 2026
Mkoa wa Katavi imehitimusha maadhimisho ya Hijab Day 2026...
HIJAB DAY TAMSYA PWANI ZONE A
Kilele cha Maadhimisho ya wiki ya Hijab Mkoa wa Pwani, Zone A...
TAMSYA MBEYA HIJAB DAY: DC AONGOZA HARAMBEE YA HIJABU KWA WANAFUNZI
Mkoa wa Mbeya, umeadhimisha Siku ya Hijab Kimkoa kwa kishindo katika Wilaya ya Chunya....
KIKAO KAZI TAMSYA na PBZ.
Uongozi wa Jumuiya ya wanafunzi na vijana wa kiislaam Tanzania (TAMSYA) Siku ya Alhamis ilifanikiwa kukutana na uongozi wa benki ya watu wa Zanzibar (PBZ BANK) tawi la Lumumba na kufanya nao mazungumz...
TAMSYA Yakutana na African Relief and Community Development
Rais wa TAMSYA Br. Abdulhakim R. Abdallah ameongoza Viongozi waandamizi wa TAMSYA Makao Makuu Katika ziara rasmi alipo mtembelea Mkurugenzi Mkuu Bw. Mohammed Juweil, ofisini kwake. Ziara hii maalumu i...
TAMSYA yatembelewa na HESLB
Afisa Habar TAMSYA Taifa. Katibu Mkuu, Ibn Japhary alipokea Ugeni kutoka bodi ya Mikopo (HESLB), walipo tembelea Katika Ofisi za TAMSYA wakiwakilishwa na Bw. Edward Kilele....
TAMSYA GRADUATION PROGRAM -KILOMBERO
Mahafali ya pamoja ya wanafunzi wa Kidato cha Nne na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (FDC)....