Mwishoni mwa November kuanzia 14 mpaka 22 2024 nilibahatika kufika Mkoani Katavi katika wilaya za Tanganyika, Melele, Nsimbo na Mpanda Kwa hakika yapo mengi ya kujifunza juu ya Neema za Allah katika Uumbaji. Lakini kubwa zaidi nikiwa Wilaya ya Tanganyika katika jengo la Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika nilibahatika kukutana na Mwana TAMSYA Ndugu Said Chingwaba Kilichofqbya nimjue yeye Kuvaa Sare ya TAMSYA tulisamiana tukapeana Mawasiliama ma kupiga Picha ya Pamoja Ndugu ni Mtumishi Halmashauri ya Tanganyika yupo Idara ya Utawala na pia ni Mweka hazina TAMSYA Tanganyika Natamani sana Viongozi wa Mkoa wa Katavi na Taifa tumualike mkutano mkuu wa Taifa yapo ya Kujifunza kwake hasa kwa Wana TAMSYA ambao wanaenda kuwa Watumishi na walio Watumishi wa Umma kwa Sasa.. Ndimi Comrade Sambala Said Mwenyekiti Halmashauri ya Chemba na Diwani wa Mondo. Kiongozi wa TAMSA/TAMSYA 2003-2013 MIKOA YA DSM MORO TAIFA.