Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh
Amiri Mkoa wa Dar es salaam akiambatana na Katibu wilaya ya Ilala katika ziara ya kiutendaji kutembelea tawi la shule ya sekondari zanaki.
LENGO LA ZIARA
01:kutatua changamoto
02:kuwaalika katika Maadhimisho ya Miaka 31 ya TAMSYA kimkoa na wilaya.
03:Kuitambulisha jumuiya kwa mkuu wa shule
05:Kudumisha uhusiano baina ya Tawi na jumuiya.