Mon - Sun: 09 AM - 09 PM

VYETI VYA TAMSYA

Kuelekea mwisho wa mwaka, TAMSYA inaendelea kuwasihi wanafunzi wanaotarajia kuhitimu mafunzo yao kwa ngazi tofauti kuhakikisha wanachukua vyeti vyao vya TAMSYA kupitia kwa uwakilisha wa viongozi wetu katika maeneo tofauti ya Tanzania

;